Kiswahili (Swahili)

Language fonts

To view all fonts on this page, you may need to install the appropriate language font on your computer, or use an alternative browser.

This page contains Swahili translations of MoneySmart content. To view the publications below in English, go to publications. To access the audio and photo stories in English, go to the Money management kit for community settlement workers.

 Ni nini maana ya MoneySmart? (What is MoneySmart?)

Mtandao hii ina maelezo ya bure ili kukusaidia kufanya uchaguzi wenye busara kuhusu pesa yako. MoneySmart imeletwa kwako na Australian Securities and Investments Commission (ASIC) ambayo ni kikundi ya serekali.

MoneySmart ina vikokotoo (kwa lugha ya kiingereza peke yake) ya kukusaidia kufanya hesabu kujua ni kiasi gani ca pesa ulio nazo ya kutosha kwa matumizi, kuweka akiba na mkopo. 

Malalamiko

Ikiwa unashida na pesa yako au na mtu ambaye anakupa mawaidha kuhusu pesa, unaweza kuwaeleza ASIC. Tutakueleza ni wapi unaweza kupeleka malalamishi yako. Piga simu ASIC nambari moja tatu sufuri sufuri tatu sufuri sufuri sita tatu sufuri 1300 300 630 kuuliza mtafsiri.

This website has free independent information to help you make smart choices about your money. MoneySmart is produced by the Australian Securities and Investments Commission (ASIC) which is a government organisation.

MoneySmart has calculators (only available in English) to help you work out how much money you can afford to spend, save and borrow. 

Complaints

Interpreter iconIf you are having problems with your money or with someone giving you advice about money, you can tell ASIC. We can explain where you can take your complaint. Call ASIC on 1300 300 630 and ask for an interpreter.

Vitabu na magazetti (Publications)

Managing my money factsheets

Household budgets

Saving money

Paying bills

Contracts

Banking

Credit

Types of credit

Debt

Working in Australia: Pay, tax and superannuation

Insurance

Sauti (Audio stories)

55 secs

Bajeti ya vitu vya matumizi ya nyumbani (Household budgets)

 

1:03 mins

Mkopo (Credit)

48 secs

Kuweka akiba ya pesa (Saving money)

 

57 secs

Aina ya mkopot (Types of credit)

53 secs

Kulipa hesabu ya malipo ya vitu (Paying bills)

 

1:11 mins

Deni (Debt)

53 secs

Mkataba (Contracts)

 

58 secs

Kufanya kazi Australia (mshahara, ushuru na pesa inayotolewa Kutoka mshahara yako kwa malipo yako ya baadaye ya uzeeni)
(Working in Australia: Pay, tax and super)

49 secs

Benki (Banking)

 

50 secs

Bima (Insurance)

Picha za video (Photo stories)

 

Related links


Last updated: 07 Aug 2017